23 July 2012

UHAMASISHAJI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (wa tatu kulia) akiwa na mmiliki wa Klabu ya Seattle Sounders, Bw. Joe Ruth (wa pili kushoto) kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Chelsea FC na Seattle Sounders FC, katika uzinduzi wa matangazo ya kuhamasisha utalii katika mji wa Seattle, nchini Marekani. Wengine kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Ibrahimu Mussa, Bw. Adrian Hanauer (Meneja wa Seattle Sounders FC), Bi. Mwanaidi Majaar (Balozi wa Tanzania Marekani) na Dk. Aloyce Nzuki ambaye ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii nchini. (Picha na Pascal Shelutete-TANAPA)

No comments:

Post a Comment