Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasseb Abdul 'Diamond' akicheza wakati wa Tamasha la 'WAJANJA' lililofanyika juzi katika Uwanja wa Nang'wanda mjini Mtwara. Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu na litamalizikia jijini Tanga Jumapili likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa Kampuni ya Vodacom. Na Mpigapicha Weu
No comments:
Post a Comment