06 July 2012

Samaki


Baadhi ya akina mama wa Songea, Mkoani Ruvuma wakinunua samaki wakavu kwenye Soko Kuu la Manispaa jana. Biashara ya samaki imeshamili baada ya bei ya nyama kupanda kutoka sh. 4000 kwa kilo moja hadi sh. 7000. (Picha na Cresensia Kapinga)

No comments:

Post a Comment