Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau (kushoto), akizungumza na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, alipokwenda ofisini kwake, Vuga kwa ajili ya kumpa pole, kufuatia ajali ya Meli ya Mv. Skagit, iliyozama hivi karibuni na kuua watanzania. NSSF ilitoa msaada wa sh. milioni 10, kusaidia wahanga wa ajali hiyo. (Picha na Juma Kintu wa NSSF)
No comments:
Post a Comment