20 July 2012

PATASHIKA GOLINI

Mchezaji wa timu ya Simba, Felix Zunzu akijaribu kufunga kwa kichwa huku mabeki wa Ports ya Djibouti wakimzonga wakati wa mechi ya Ligi ya Kombe la Kagame iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi. Picha na Michael Machellah

No comments:

Post a Comment