Bondia Wessam Slamana wa Syria (kushoto) akikwepa konde lililorushwa na Kanat Abutalipov wa Kazakhstan wakati wa michezo ya Olimpiki inayoendelea jijini London, England katika pambano la uzito wa kilo 56 (Bantam) lililofanyika Ukumbi wa ExCeL jijini humo juzi.Picha na AFP
No comments:
Post a Comment