16 July 2012

OLIMPIKI

Mchezaji Andre Iguodala (kushoto) wa timu ya Olimpiki ya Wanaume ya Marekani, akimzuia Eulis Baez wa Jamhuri ya Dominican wakati wa michuano ya maonesho ya mchezo huo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Thomas & Mack Center mjini Las Vegas, Nevada.Picha na REUTERS

No comments:

Post a Comment