09 July 2012

Mwenge


Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Bw. Wito Mlemelwa, akikabidhi mwenge kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tanga Cement, ulipofika kiwanda hapo Mkoani Tanga na kuzindu miradi mbali mbali ukiwemo wa upandaji miti 13,600 uliogharimu sh. mil 42. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment