19 July 2012

MTUHUMIWA


Wakala wa kuuza umeme wa LUKU wa Kituo cha Mwananyamala A, Bi. Fatma Abby, akielekea kwenda kupanda gari la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kaskazini lenye namba SU 35083 (halipo pichani) baada ya kukamatwa kwa kutuhumiwa kuibia umeme kwa kuharibu mita, wakati wa operesheni ya kuwakamata wahujumu wa shirika hilo, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment