16 July 2012

MSAKO


Askari wa Manispaa ya Ilala, wakijadiliana mara baada ya kukamata bidhaa zilizokuwa zikiuzwa na wafanyabiashara ndogondogo kando ya Barabara ya  Msimbazi, Dar es Salaam jana. Tabia ya ukaidi wa baadhi ya wafanyabiashara husababisha matumizi ya nguvu kwa askari hao ili kuwadhibiti. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment