06 July 2012

Mkataba



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Bw. Aloyce Masanja (kulia), akibadilishana nyaraka za makubaliano ya awali ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler’s na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Odebrecht ya Brazil, Bw. Fernando Soares (wa pili kushoto), Dar es Salaam jana. Wengine ni Mwanasheria wa kampuni hiyo, Bw. Tiago Matos na Mwenyekiti wa Bodi ya RUBADA, Profesa Raphael Mwalyosi na Mkurugenzi wa Mipango wa RUBADA, Bi. Tatu Ndataro. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment