16 July 2012

MENEJA WA BIA YA KILIMANJARO

Kaimu Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Oscar Shelukindo akimkabidhi jezi Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Simba Godfrey Nyange 'Kaburu' kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame inayoanza kutimua vumbi leo.

No comments:

Post a Comment