06 July 2012

Mchicha


Mchuuzi wa mboga za majani, katika Soko la Mtongani, Manispaa ya Temeke (aliyesimama kulia), alikutwa na kamera yetu, akizungumza na wateja, wakati akiwauzia mchicha Dar es Salaam jana. (Picha na Sittu Athumani)

No comments:

Post a Comment