05 July 2012

MBWA


Mbwa akiwa katika usukani wa gari hilo lenye namba T 436 AEF huku dereva wa gari hilo lililokuwa katika mwendo akionekana kufurahia, kama alivyokutwa Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam jana. Hiyo ni njia mojawapo ya kujilinda dhidi ya wezi wakwapuaji 'vibaka' ingawa kitendo hicho kinaweza kusababisha ajali. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment