23 July 2012

MAZUNGUMZO

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na Kocha Mkuu wa Yanga, Tomas Saintfiet alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam jana (Picha: Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment