10 July 2012

MAZUNGUMZO

Kocha Mkuu wa Yanga Mbelgiji Tom Saintfiet (wa kwanza kulia) akizungumza na wachezaji wake kabla ya kuanza mazoezi kwenye Uwanja wa Kaunda,Dar es Salaam, kushoto wa kwanza ni Abdallah BinKleb anayegombea nafasi ya uenyekiti ndani ya klabu hiyo

No comments:

Post a Comment