06 July 2012

Mayai


Mfanyabiashara ndogondogo, Bw. Mushi Ally, akipanga mayai kwenye trei kwa ajili ya kuuza, kama alivyokutwa na kamera yetu, Kariakoo, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana. Hivi karibuni Shirika la Viwango Tanzania (TBS), lilikamata mayai bandia yaliyouzwa mitaani. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment