09 July 2012

Makamba


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. January Makamba akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu mkakati wa kuendeleza miradi ya maendeleo ya Jimbo lake la Bumbuli, Mkoani Tanga. Miradi aliyokusudia kuiendeleza ni elimu na kambi za wafunzi kwa ajili ya kujisomea kabla ya mitihani. (Picha na Dorin Mchau)

No comments:

Post a Comment