Diwani wa Kata ya Kurasini, Bw. Wilfred Kimati (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Mchumi wa Manispaa ya Temeke Bw. David Mgonja (wa pili kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya manispaa hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Diwani wa Kata ya Tungi Bw. Abel Luambano na Mwakilishi wa Idara ya Afya Bw. Lawrent Chipatta. (Picha na Salim Nyomolelo)
No comments:
Post a Comment