10 July 2012

KUOGELEA

Wafanyakazi wa benki ya Standard Chartered ya Tanzania pamoja na familia zao wakishiriki katika mchezo wa kuogelea wakati wa siku ya michezo ya benki hiyo mwaka huu, iliyofanyika katika viwanja vya Heaven of Peace jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita.   Benki hiyo inaipa kipaumbele michezo kama nguzo ya kuboresha mahusiano ya wafanyakazi na kukuza ushirikiano.

No comments:

Post a Comment