Meneja Mkuu wa Kampuni ya Business Times Limited Aga Mbuguni, akimkabidhi kombe la bandari Chalenji Meneja wa timu ya netiboli ya Business Times, Elizabeth Mayemba baada ya timu hiyo kulitwaa juzi. Michuano hiyo ilikuwa ikifanyika katika viwanja wa Habours Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment