23 July 2012

KOMBE LA KAGAME


Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi akimtoka beki wa APR wakati wa mechi ya michoano ya Kombe la Kagame iliyochezwa juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 2-0 ambayo yote yalitumbukiwa kimiani na Bahanuzi. Na Michael Machella

1 comment:

  1. Nadhani ni wakati muafaka sasa vvijana kama Bahanuzi wapewe nafasi Taifa Stars

    ReplyDelete