Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini China, Asilia Sanga (wa pili kushoto), akimuonesha Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Bw. Benjamin Mkapa (katikati), kitabu kinachoonesha jumba la ukumbusho ambalo limefunguliwa nchini humo likiwa limehifadhi tamaduni za Tanzania walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa kudumisha uhusiano kati ya China na nchi za Afrika uliofanyika juzi, jijini Suzhou, nchini humo. (Picha na Imma Mbuguni)
No comments:
Post a Comment