19 July 2012

CHETI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Afrika Tanzania, Bw. Ammish Owusu-Amoah (kulia) akikabidhi cheti kwa mfanyakazi bora, Bw. Charles Elisante, wa tawi la benki hiyo Ilala, wakati wa sherehe za wafanyakazi na familia zao, ziliyofanyika Dar es Salaam juzi. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment