23 July 2012

CCM


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM0, Bw. Nape Nnauye (mbele), akiwa pamoja na viongozi wengine wa chama hicho, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipamba, mkoani Kigoma jana. Wa nyuma ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Bw. Steven Wasira. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment