11 July 2012

ATCL


Maofisa wa Shirika la Anga la Comoros, wakimsaidia mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini , Bi. Kidude Binti Khamis (wa pili kushoto), kushuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa uzinduzi wa safari za shirika hilo, kati ya Dar es Salaam na Visiwa vya Comoro jana. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment