19 July 2012

AJALI


Gari la Askari wa Kikosi cha Zimamoto, likiwa limeanguka kando ya Barabara ya Morogoro jana na kuharibu miundombinu ya ujenzi wa njia zinazoandaliwa kwa ajili ya kupitisha magari yaendayo kasi Jijini Dar es Salaam. (Picha na Peter Twite)

1 comment:

  1. HIVI ASKARI NAO HAWAJUI KUENDESHA MAGARI??????

    ReplyDelete