19 July 2012

AIRTEL

Airtel
Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya “Daka Salio” iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel. Kushoto ni Ofisa Uhusiano, Bi. Dangio Kaniki na Meneja Bidhaa, Bw. Salim Madatiwa. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment