Baadhi ya abiria wakigombania kupanda daladala linalofanya safari kati ya Kariakoo na Gongo la mboto jana,eneo la Kariakoo,Dar es salaam huku mfereji wa maji taka ukiwa wazi katika kituo hicho ambacho kipo Barabara ya Msimbazi karibu na Kituo kidogo cha Polisi Gerezani.Mfereji huo usipotafutiwa ufumbuzi wa kuwekewa mifuniko unaweza kuhatarisha usalama wa abiria.picha na Prona Mumwi
No comments:
Post a Comment