29 June 2012

ULIMBOKA WODINI


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Madaktari Tanzania, Dkt. Steven Ulimboka, akiwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) cha Hospitali ya Muhimbili akitibiwa baada ya kupigwa na watu wasiojulikana waliomteka juzi. (Na Mpigapicha Wetu)

20 comments:

  1. Nashangaa Dokta Ulimboka baada ya kupigwa tu na kuokotwa moja kwa moja kapelekwa Hospitali ya Muhimbili kwanini asiende nyumbani kama wanavyowaambia Wagonjwa muda huu wa sasa ambapo wapo kwenye MGOMO!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeye ni daktari na wanaomtibu ni madaktari kama mgonjwa wako ameambiwa aende nyumbani nenda kamtibu mwenyewe au muite rais wako dr kikwete amtibu.

      Delete
    2. hao madaktari wanamtibia wapi huyo daktari mwenzao? kwa mzee ulimboka,wamtoe huko wakamtibie huko kwa baba yake,swine wee. watu wanakufa wanataabika unleta chuki zako za kisiasa ,Mungu ampe ugonjwa baba yako au mama yako,au kama umeoa mpe maradhi mkeo au mtoto wako au wewe mwenyewe uone mateso yake. akili za watanzania ziko matakoni

      Delete
    3. Kuna pande mbili zilizosigana: serikali na madaktari. Serikali inafuja matrilioni ya shilling badala ya kuzielekeza katika uboreshaji wa huduma mbalimbali ikiwemo ya afya. Ndio, madaktari wanamchango mkubwa pia katika kuwatesa wagonjwa, lakini mchango wa serikali ni mkubwa zaidi, usisahau hilo. Elekeza lawama pande zote, vinginevyo unayo ajenda binafsi, au unayo manufaa binafsi na hiyo serikali.

      Delete
    4. punguza kushangaa haya yote si mazuri kwetu.

      Delete
  2. Mungu amekulipa kwa adhabu unayoipata,mgomo wa daktari unawatesa wagonjwa wengi nchini na kufa. imekuwa vizuri Ulimboka hukufa ili aone adha wanayopata wengine. Mungu akuzidishie maumivu ili afahamu mateso ya wengine sio kwa kusikia tu. hiyo ni faida ya kutumiwa na wanasiasa kwa faida zao za kisiasa. watu wanateseka mahospitalini wewe unakata kinywaji leaders club kweli huu ni utu. hao wanaopiga kelele kwa maumivu yako mtu mmoja hawaoni maelfu wanaoteseka? nina wasiwasi na chama kimoja kilichojaa jamaa wa mikoa ya kaskazini ndio wamekuingiza katika janga hili bila ya wewe mwenyewe kujua. kwanza wamekutumia wewe kusdhupalia mgomo na ipli wamekuteka na kukutesa ili kuzidisha petroli kwenye moto unaowaka bila ya wewe kujielewa.hawa jamaa ni wakatili sana kwenye pesa wanawezafanya chochote tu kwa ajili ya pesa, nakuombea uendelee kuumwa na nimefurahi kusikia hukufa ili uwone mateso yetu. ndugu yangu mmoja alikatwa mguu kutokana na mgomo wenu uliopita sasa amekuwa ni mtu tegemezi basi namuomba Mungu akutese hivyohivyo kama wanavyoteseka wengine na familia zao na wewe familia yako ipate mateso hayohayo. najua wengine watajibu kuniona mkatili lakini ukatili aliofanyiwa ndugu yangu hadi akakatwa mguu si mdogo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe MUNGU akupe magonjwa makubwa ukimwi na kisukari ukafie mbele.

      Delete
    2. MUNGU HULIPA HAPAHAPA. ENDELEA KUMUADHIBU HUYU BWANA HATA HUKO INDIA HAKUSAIDII ARUDI KWA MUNGU AOMBE MSAMAHA.WATU WANARESEKA,WANAKUFA YEYE ANAKATA KINYWAJI LEADERS CLUB. NA NYIE MADAKTARI KAMA MSHAHARA HAUTOSHI SERIKALINI SI MUENDE KWINGINE JAPO SERIKALI IMEWASOMESHA KWA PESA ZETU WANANCHI AMBAO MNATUTESA SANA. ONDOKENI,WATAPATIKANA WENGINE TU WENYE UTU SIO NYIE WAFANYABIASHARA. ATI MNADAI HUDUMA BORA KWA WANANCHI HUU NI UONGO TU.MNAIBA DAWA ZA HOSPITAL MNAWAUZIA WAGONJWA,MNAOMBA RUSHWA WAGONJWA,HAMNA HURUMA HATA KIDOGO NYIE HATA MKIPEWA MIL 20 BURE TU. MUNGU ENDELEZA MATESO YA HUYU KINARA WA MAUAJI NA MATESO YA WAGONJWA.

      Delete
    3. Wewe ulipovalishwa kofia ya kijani ukajua kuwa dunia yote ni kijani sio? Hata ubongo wako umekuwa wa kijani?

      Delete
  3. KUMBE DR.ULIMBOKA NI BINADAMU ZAIDI KULIKO BINADAMU WENGINE HIVI BAHATI MBAYA AU NZURI ISRAEL AKIMCHUKUA VIONGOZI WA KIROHO WATAKUZIKA KWA MBWEMBWE KWA KUWAPATIA MAREHEMU WENGI WA KUWAZIKA NAOMBA VIONGOZI WA KIROHO WAENDE WAKAMUOMBEE DR. ULIMBOKA APONE UPESI NA AKAJIBU MAHAKAMA KUU IDARA YA KAZI MASHAHIDI NI WOTE WALIOFIWA NA MAREHEMU WAO MADAKTARI WALIPE FIDIA NA WAARUDISHE MAREHEMU WETU WALIOKUFA TENA HARAKA WAKISHINDWA WASIAJIRIWE POPOTE DUNIANI BINADAMU NI MUHIMU KULIKO DAKTARI BINADAMU KWANZA DAKTARI NA DR.ULIMBOKA BAADAYE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama ndugu zako wamekufa na ukimwi ulitaka ulimboka afanye nini? Hatakufa na utamuona akiwa hai na ndugu zako kama wamekufa wamekufa tuuuuuuuuu! nenda kasomee udaktari nawe uwatibu ndugu zako.

      Delete
    2. Are you in the medical field? All patient have the same status of sickness, regardless of what illness they have. We have came a long way fighting against stigmatization and yet you are doing it to the people with AIDS, they are patients. Those Doctors when signed to work they agreed all conditions offered including salaries. if they prefer more payments they should do their homework and find fields which pay more money. But keep striking and making death of innocent citizens with intentional negligence, to me that's unethical.

      Delete
  4. MUNGU AKUPE AFYA NA MAISHA MAREFU DR ULIMBOKA NA NAWALAANI WOTE WALIOKUANYIA KITENDO HIKI. AWAPE MAPIGO KAMA YALE WALIYOPATA WAMISRI NA KUWALAANI KIZAZI CHAO CHA 1 HADI CHA NNE.AMINA

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAPONI HUYO MPAKA AUNGAME. VIFO NA MATESO YA WAGONJWA WENGINE NDIO VINAMTESA. MNALETA CHUKI ZA KISIASA KWENYE JANGA KAMA HILI KWA UPUUZI WENU,HIYO AMINA ULIYOIJIBU MWENYEWE HAISAIDII. HATA WAMPELEKE ULAYA KAZI BURE. REJEENI KWA MUNGU WENU MTUBU LABDA ITASAIDIA

      Delete
  5. Serikali ipige marufuku madaktari walioajiriwa serikalini kufanya kazi zao za udaktari kwenye hospital binafsi. ni vyema hao madaktari waamue kufanya kazi serikalini kwa mshahara na marupurupu yaliyoko au aende hospital ya private akalipwe zaidi,hizi hospital binafsi zinawatia kiburi zaidi kwani wanapofanya mgomo huenda kufanya kazi huko na kupokea pesa. ni muhimu daktari anayeona mshahara serikalini haumtoshi aende huko kuliko mateso na vifo vinavyosababishwa na migomo yao

    ReplyDelete
  6. HEKO SERIKALI KWA KUACHA KUSUJUDIA HAWA MADAKTARI WALIOGOMA MAADILI HAYAONEKANI USONI BALI NI VITENDO TUNASHUKURU JUHUDI MSEMAJI WA WIZARA NSACHRIS MWAMWAJA KUZIOMBA HOSPTALI TMJ,REGENCY,AGA KHAN,HINDU MNDAL,CCBRT,LUGALO KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA WANYONGE WAGONJWA WASIONAHATIA NI MUDA MUAFAKA HOSPITALI ZOTE ZENYE UTU KUSAIDIA SERIKALI KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA HAINGII AKILINI KUWAACHA WAFE WATAMTIBIA NANI?? IWAPO HATA VIRUSI BAADA YA KUMSHAMBULIA MGONJWA HUPUNGUZA KASI YA KUSHAMBULIA ILI HOST ASIFE NAWASHANGAA VIRUSI VINA AKILI KULIKO BINADAMU ZIKO HOSPITALI ZA MADHEHEBU YA DINI HAPA NDIO PA KUONA NI WEPI WAFANYABIASHARA NA NI WEPI WANATOA HUDUMA NA NI WEPI WANASIASA

    ReplyDelete
  7. I don't agree withe act of punishing Dr Ulimboka, i i side with majorities of commentators, that Doctors who are not satisfied with current payments, should seek work somewhere else, instead of killing innocent citizens. Unfortunately our doctors in Tanzania they think themselves as very special close to God, to me its just another profession like others, the difference is dealing with human lives. These people are highly intellectual, but they can not think properly, this is easy. you want more money go and work to private sector even abroad. Furthermore you can run for office and be to the state house or member of parliament. I would like the government to open more medical universities and enroll many students so as we can have really Doctors who will help patients, rather than having these few greedy Doctors. Tax payers have paid for their expensive education in which there is no way for them to pay back, and yet they keep on striking every day.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fair enough, but your opinion is soon sided to the extent of being judged to be from a government spokesperson. Are you in the government pay or what interest do you have over there. Remember, it not just an issue of doctor's pay; they are also advocating for the overall improvements in health infrastructure so as our people can be treated here more often rather than going to India, or even Nairobi or Kampala! Now the govt is getting so desperate to the extent of wanting to kill their own citizen? This is deplorable.

      Delete
    2. I do appreciate for your response, i am not in the government payroll, and i don't work in the government. I present my opinion as citizen, and my opinion was objective. Yes we have problems in developing countries especially Africa, we haven't established ourselves to make our political leaders accountable, i know most of them think they are above the law. we have corruption problems our leaders steal money as if they are going to live more than one hundred years, while life expectancy is about eighty years. instead of focusing on building legacy to be remembered and admired like leaders such as Mandera and Nyerere, our current leaders are not in that realm at all, they are selfish. My problem with Doctors strikes, affects regular people with less income or no income at all, while the people with the power of solving problem are government officials and politicians, majority of them wont seek those medical services from the country, instead they do have means to access over seas. Thats why i said the main problem is economical, to address the system of economy should be changed in our country, i would prefer services like hospitals to be private so that markets will control business based on services.

      Delete
  8. Ni vyema kuwaangalia wananchi wasio na hatia, naungana na waliochangia kuwa Dr anayetaka mapesa mengi akayatafute kwenye hospitali za Private, Mungu yupo atawajibu tu!

    ReplyDelete