Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Temeka, Bi. Anastazia Mwonga (kulia), akimkabidhi Bw. Yahaya Ndomondo, fomu za kugombea nafasi ya Katibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke, Dar es salaam juzi, kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa chama hicho. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment