Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na marais wastaafu, Benjamin Mkapa (kushoto) na Ali Hassan Mwinyi wakati wa harambee ya kuchangia fedha za mpango wa Mkapa Fellows unaoratibiwa na Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS iliyofanyika Dar es Salaam juzi. (Picha na Ikulu)
huyo mkapa hashibi?
ReplyDeleteTUNASHAURI FEDHA ZINAZOWAHUSU WAATHIRIKA WA UKIMWI ZIWAFIKIE WAHUSIKA BALA HIVYO MBINGUNI MUNGU SINA UHAKIKA IWAPO ATAPOKEA RUSHWA NI VEMA TUJIREKEBISHE
ReplyDelete