31 May 2012

WATUHUMIWA


Baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa wakati wa operesheni maalumu ya kukagua mita za LUKU  za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), wakiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa eneo la Tabata, Dar es Salaam jana. Hata hivyo waliachiwa baada ya kubainika kuwa si wahusika. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment