31 May 2012

MADINI


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Bi. Moza Said (katikati)
akiangalia maji ya kusafishia udongo wenye dhahabu katika machimbo mapya
ya Tumbelo wilayani Kondoa jana. (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment