Mkurugenzi wa Taasisi ya Kiislam ya Islamic Peace Fountation (IPF), Bw. Sadick Godioodi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, akipinga msimamo wa baadhi ya taasisi za kiislam, kupinga sensa ya watu itakayofanyika hivi karibuni, kulia ni Mwanaharakati, Bw. Quentin Matembo. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment