16 May 2012

VIVUTIO

Spika wa Bunge Mhe.Anne Makinda (wa nne kutoka kushoto) na ujumbe wa Tanzania wakilisha samaki katika bustani maalum iliyopo katika makazi  ya Mji wa Kyoto wakati walipofanya ziara ya kutembelea mji huo jana asubuhi. Spika na ujumbe wa watu watano wapo nchini Japani kwa mwaliko maalum wa kibunge ikiwa ni sehemu ya kukuza demokrasia ya nchi hizi mbili. Picha na mpiga picha maalumu.

No comments:

Post a Comment