Mhariri Mtendaji wa gazeti hili Bw. Imma Mbuguni akizungumza wakati wa mkutano wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na wahariri wa vyombo vya habari, Dar es Salaam juzi, uliolenga mamlaka hiyo kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu mchakato wa kupatikana kwa vitambulisho kwa kila raia bila malipo. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment