Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali, Said Mwema, akikata utepe kwa pamoja na Balozi wa Misri nchini, Bw. Hossan Moharam (kushoto), wakati wa uzinduzi wa mashine ya X-ray iliyotolewa na nchi hiyo kwa Hospitali ya Polisi Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam jana (katikati) ni Mwezeshaji kutoka Pharm Access na Marie Stopes. Bw.Geert Haverkam. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment