
Mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi na Ajira Dkt. Makongoro Mahanga, akilakiwa na wafuasi wake baada ya kuibuka kidedea katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo iliyokuwa inamkabili katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na (CHADEMA), Bw. Fredi Mpendazoe.
No comments:
Post a Comment