03 May 2012

USAFIRISHA WA HATARI

Gari aina ya KIA likiwa katika foleni wakati likisafirisha bodi la gari Toyota Hiace huku ndani likiwa limebeba abiria mmoja bila kujali usalama wake, kama lilivyokutwa  eneo la Mbagala Rangitatu Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment