03 May 2012

USAFI JIJINI


Wafanyakazi wa Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Ilala wakizibua na kusafisha chemba ya majitaka kama walivyokutwa kwenye Barabara ya Uhuru, Dar es Salaam jana, utupaji wa takataka bila kuzingatia utaratibu unasababisha kuziba kwa chemba hizo. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment