03 May 2012

SIASA MAHAKAMANI



Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakishangilia huku wakionesha alama ya ushindi, Dar es Salaam jana, pamoja na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali hoja 11 za upande wa mlalamikaji Bw. Fred Mpendazoe, kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo yaliyompa ushindi Dkt .Makongoro Mahanga.

No comments:

Post a Comment