04 May 2012

UHURU WA HABARI


Mbunge Mteule wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi, Shyrose Bhanji, akisikiliza mada mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Dar es Salaam jana, kushoto ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, (Viti Maalumu)  Mkoa wa Mara, Bi, Ester Bulaya. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment