24 May 2012

TAIFA STARS

Wachezaji wa timu ya taifa,Taifa Stars wakifanya mazoezi katika uwanja wa Karume Dar es salaam jana  kwa ajili ya kuikabili timu ya taifa ya Malawi mwishoni mwa wiki hii(katikati) mchezaji Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa nchini Kongo katika klabu ya TP Mazembe.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment