03 May 2012

MUONGOZO


Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kuandaa muongozo wa Vyombo vya habari na waandishi wa habari, Bw. Teophil Makunga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu uzinduzi wa mpango huo
, kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Taasisi ya Africa Media Initiative (AMI), inayoratibu muongozo huo, Bi. Roukaya Kasenally na (katikati) ni Katibu Mtendaji wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Bw. Henry Muhaiki

No comments:

Post a Comment