Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wafanyakazi wa
Serikali na sekta binafsi, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Kilele
cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika, Mjini Unguja jana, (kushoto) Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar, Zahrani Mohamed
Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman, (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:
Post a Comment