Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Bw. Patrick Kisaka, akikabidhi Bajaj kwa mshindi wa promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo juzi, Bw Godfrey Shao mkazi wa Mkoa wa Mwanza aliyeshinda kupitia bia ya Tusker Lager. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment