22 May 2012

KUMBUKUMBU


Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj, Alhad Salum, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam juzi, mara baada ya kufanyika ibada ya kumbukumbu (Hitma) ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Mtabiri wa Nyota Afrika Mashariki Shekhe Yahya Hussein. (wa pili kushoto) ni mtoto wa marehemu Bw. Hassan Yahya Hussein na kulia ni mmoja wa maofisa wa taasisi mtabiri huyo, Shekhe, Hamisi Kondo.  (Picha na Charles Lucas)                             

No comments:

Post a Comment