Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali, Kapambala Mgawe, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam juzi, kuhusu hatua za uchunguzi zitakazochukuliwa na jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kufukuzwa na kufikishwa mahakamani kwa askari atakayebainika kujiunga na jeshi kwa kutumia vyeti vya kugushi bila kujali cheo alichonacho hivi sasa, hatua hiyo inafuatia taarifa ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA),kubaini udanganyifu kugushi vyeti kwa baadhi ya wanajeshi na polisi. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment