02 May 2012

GAWIO

Mwanachama wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Tanzania Bi. Leah Mtandika akikabidhiwa Ndama na Diwani wa Kata Ukonga Bi. Elidhabeth Mmbando (CCM) wakati wa gawio la mifugo hiyo waliofadhiliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii nchini (TASAF) Manispaa ya Ilala. Katikati ni Mwenyekiti wa umoja huo unaoshughulika na ufugaji wa  ng'ombe wa maziwa eneo la Ukonga Madafu  Bi. Evelin Ngoicho . (Picha na Heri  Shaaban)

No comments:

Post a Comment